Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Parables: Meats defiling not

6 mistari · 74 vipengele

Mistari kuhusu Meats defiling not

  1. Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:

  2. kinachomfanya mtu kuwa najisi mbele za Mungu si kile kiingiacho kinywani mwake, bali ni kile kitokacho kinywani mwake.”

  3. Kisha wanafunzi wake wakamjia na kumuuliza, “Je, unajua kwamba Mafarisayo walichukizwa sana waliposikia yale uliyosema?”

  4. Akawajibu, “Kila pando ambalo Baba yangu wa mbinguni hakulipanda, litangʼolewa.

  5. Waacheni; wao ni viongozi vipofu, wanaoongoza vipofu. Kama kipofu akimwongoza kipofu mwenzake, wote wawili watatumbukia shimoni.”

  6. Petro akasema, “Tueleze maana ya huu mfano.”