Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Moabites: Balak calls for Baalam to curse Israel

2 mistari · 56 vipengele

Mistari kuhusu Balak calls for Baalam to curse Israel

  1. Wakati Balaki mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu, alipojiandaa kupigana dhidi ya Israeli, alimwita Balaamu mwana wa Beori apate kuwalaani.

  2. Watu wangu, kumbukeni jinsi Balaki mfalme wa Moabu alivyofanya shauri na kile Balaamu mwana wa Beori alichojibu. Kumbukeni safari yenu kutoka Shitimu mpaka Gilgali, ili mfahamu matendo ya haki ya Bwana.”