Mistari ya Biblia kuhusu Moabites: Subjugation to Israel
Mistari kuhusu Subjugation to Israel
Watawashukia katika miteremko ya Wafilisti hadi upande wa magharibi, kwa pamoja watawateka watu nyara hadi upande wa mashariki. Watawapiga Edomu na Moabu, na Waamoni watatawaliwa nao.