Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Missionary Work By Ministers: Apostles

5 mistari · 32 vipengele

Mistari kuhusu Apostles

  1. Kwa hiyo wakatoka na kuhubiri kwamba inawapasa watu kutubu na kuacha dhambi.

  2. Walipokuwa wakimwabudu Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi ile maalum niliyowaitia.”

  3. Ndipo baada ya kufunga na kuomba, wakawawekea mikono yao na wakawatuma waende zao.

  4. Hivyo, wakiwa wametumwa na Roho Mtakatifu, wakashuka kwenda Seleukia na kutoka huko wakasafiri baharini mpaka kisiwa cha Kipro.

  5. Walipowasili katika mji wa Salami, wakahubiri neno la Mungu katika sinagogi la Wayahudi. Pia walikuwa na Yohana Marko kuwa msaidizi wao.