Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Missionary Work By Ministers: Excellency of

2 mistari · 32 vipengele

Mistari kuhusu Excellency of

  1. Tazama jinsi miguu ya wale waletao habari njema ilivyo mizuri juu ya milima, wale wanaotangaza amani, wanaoleta habari njema, wanaotangaza wokovu, wauambiao Sayuni, “Mungu wako anatawala!”

  2. Nao watahubirije wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, “Tazama jinsi ilivyo mizuri miguu yao wale wanaohubiri habari njema!”