Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Midianites: Completeness of their destruction, alluded to

5 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Completeness of their destruction, alluded to

  1. Uwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani, na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini hapo kijito cha Kishoni,

  2. ambao waliangamia huko Endori na wakawa kama takataka juu ya nchi.

  3. Wafanye wakuu wao kama Orebu na Zeebu, watawala wao kama Zeba na Salmuna,

  4. Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, umevunja nira iliyowalemea, ile gongo mabegani mwao na fimbo yake yeye aliyewaonea.

  5. Bwana Mwenye Nguvu Zote atawachapa kwa mjeledi, kama alivyowapiga Wamidiani katika mwamba wa Orebu, naye atainua fimbo yake juu ya maji, kama alivyofanya huko Misri.