Beth-shittah
32.5500, 35.4300 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Beth-shittah
Walipozipiga zile tarumbeta 300, Bwana akafanya watu katika kambi yote kugeuziana upanga kila mmoja na mwenziwe. Jeshi likakimbia mpaka Beth-Shita kuelekea Serera hadi mpakani mwa Abel-Mehola karibu na Tabathi.