Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Midianites: Engaged in commerce

2 mistari · 28 vipengele

Tafuta "Midianites"

Mistari kuhusu Engaged in commerce

  1. Kwa hiyo wale wafanyabiashara Wamidiani walipofika pale, ndugu zake wakamtoa Yosefu kutoka kwenye lile shimo, na kumuuza kwa shekeli ishirini za fedha kwa wale Waishmaeli, ambao walimpeleka Misri.

  2. Wakati ule ule, Wamidiani wakamuuza Yosefu huko Misri kwa Potifa, mmojawapo wa maafisa wa Farao, aliyekuwa mkuu wa ulinzi.