Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Midianites: Terrified at approach of Israel

5 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Terrified at approach of Israel

  1. Mungu alitoka Temani, yeye Aliye Mtakatifu kutoka Mlima Parani. Utukufu wake ulifunika mbingu, na sifa zake zikaifunika dunia.

  2. Mngʼao wake ulikuwa kama jua lichomozalo; mionzi ilimulika kutoka mkononi mwake, ambako nguvu zake zilifichwa.

  3. Tauni ilimtangulia; maradhi ya kuambukiza yalifuata nyayo zake.

  4. Alisimama, akaitikisa dunia; alitazama, na kuyafanya mataifa yatetemeke. Milima ya zamani iligeuka mavumbi na vilima vilivyozeeka vikaanguka. Njia zake ni za milele.

  5. Niliona watu wa Kushani katika dhiki, na makazi ya Midiani katika maumivu makali.