Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Methuselah

8 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Enoki alipokuwa ameishi miaka sitini na mitano, akamzaa Methusela.

  2. Baada ya kumzaa Methusela, Enoki alitembea na Mungu miaka 300, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  3. Enoki aliishi jumla ya miaka 365.

  4. Enoki akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.

  5. Methusela alipokuwa ameishi miaka 187, akamzaa Lameki.

  6. Baada ya kumzaa Lameki, Methusela aliishi miaka 782, akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.

  7. Methusela aliishi jumla ya miaka 969, ndipo akafa.

  8. Enoki, Methusela, Lameki, Noa.