Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Judgments: Upon Hananiah, the false prophet

3 mistari · 91 vipengele

Mistari kuhusu Upon Hananiah, the false prophet

  1. Kisha nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, “Sikiliza Hanania! Bwana hajakutuma, lakini wewe umelishawishi taifa hili kuamini uongo.

  2. Kwa hiyo, hili ndilo asemalo Bwana: ‘Hivi karibuni nitakuondoa kutoka juu ya uso wa dunia. Mwaka huu utakufa, kwa sababu umetangaza uasi dhidi ya Bwana.’ ”

  3. Katika mwezi wa saba wa mwaka ule ule, nabii Hanania akafa.