Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Judgments: Are frequently tempered with mercy

4 mistari · 91 vipengele

Mistari kuhusu Are frequently tempered with mercy

  1. Ee nyumba ya Israeli,” asema Bwana, “Ninaleta taifa toka mbali dhidi yako, taifa la kale na linaloendelea kudumu, taifa ambalo lugha yao huijui, wala msemo wao huwezi kuuelewa.

  2. Podo zao ni kama kaburi lililo wazi, wote ni mashujaa hodari wa vita.

  3. Watayaangamiza mazao yenu na chakula chenu, wataangamiza wana wenu na mabinti zenu; wataangamiza makundi yenu ya kondoo na ya ngʼombe, wataangamiza mizabibu yenu na mitini yenu. Kwa upanga wataangamiza miji yenye maboma mliyoitumainia.

  4. “Hata hivyo katika siku hizo, sitakuangamiza kabisa,” asema Bwana.