Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Judgments: On the Sodomites

3 mistari · 91 vipengele

Mistari kuhusu On the Sodomites

  1. Wakati Loti alipofika Soari, jua lilikuwa limechomoza katika nchi.

  2. Ndipo Bwana akanyesha moto wa kiberiti uliotoka mbinguni kwa Bwana juu ya Sodoma na Gomora.

  3. Hivyo akaiteketeza miji ile na eneo lote la tambarare, pamoja na wote waliokuwa wanaishi katika miji, hata pia mimea yote katika nchi.