Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jacob: Journeys to Shalem, where he purchases a parcel of ground from Hamor, and erects an altar

3 mistari · 49 vipengele

Mistari kuhusu Journeys to Shalem, where he purchases a parcel of ground from Hamor, and erects an altar

  1. Baada ya Yakobo kutoka Padan-Aramu, alifika salama katika mji wa Shekemu huko Kanaani na kuweka kambi yake karibu na mji.

  2. Akanunua kiwanja kutoka kwa wana wa Hamori, baba wa Shekemu, kwa bei ya vipande mia vya fedha, ambapo alipiga hema lake.

  3. Pale akajenga madhabahu na kupaita El-Elohe-Israeli.