Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jacob: His partiality for his son, Joseph, and the consequent jealousy of his other sons

2 mistari · 49 vipengele

Mistari kuhusu His partiality for his son, Joseph, and the consequent jealousy of his other sons

  1. Basi, Israeli akampenda Yosefu kuliko yeyote miongoni mwa kaka zake, kwani ni mwanawe wa uzeeni, akamshonea joho lililorembwa vizuri sana.

  2. Ndugu zake walipoona kwamba baba yao anampenda Yosefu kuliko yeyote mwingine miongoni mwao, walimchukia na hawakusema naye neno lolote jema.