Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Jacob: His grief over the loss of Joseph

2 mistari · 49 vipengele

Mistari kuhusu His grief over the loss of Joseph

  1. Kisha Yakobo akararua nguo zake, akavaa nguo ya gunia na kumwombolezea mwanawe kwa siku nyingi.

  2. Wanawe wote na binti zake wakaja kumfariji, lakini hakukubali kufarijiwa. Akasema, “Hapana, nitamwombolezea mwanangu mpaka nimfikie kaburini.” Kwa hiyo baba yake akaendelea kumlilia.