Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Covenants: Presents given as tokens

4 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Presents given as tokens

  1. Hivyo Abrahamu akaleta kondoo na ngʼombe, akampa Abimeleki, nao watu hawa wawili wakafanya mapatano.

  2. Abrahamu akatenga kondoo wa kike saba kutoka kwenye kundi,

  3. Abimeleki akamuuliza Abrahamu, “Ni nini maana ya hawa kondoo wa kike saba uliowatenga peke yao?”

  4. Abrahamu akamjibu, “Upokee hawa kondoo wa kike saba kutoka mkononi mwangu kama ushahidi kuwa nilichimba kisima hiki.”