Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Covenants: Condemned for making, with idolatrous nations

4 mistari · 31 vipengele

Mistari kuhusu Condemned for making, with idolatrous nations

  1. wale washukao kwenda Misri bila kutaka shauri langu, wanaotafuta msaada wa ulinzi wa Farao, watafutao kivuli cha Misri kwa ajili ya kimbilio.

  2. Lakini ulinzi wa Farao utakuwa kwa aibu yenu, kivuli cha Misri kitawaletea fedheha.

  3. Ingawa wana maafisa katika Soani na wajumbe wamewasili katika Hanesi,

  4. kila mmoja ataaibishwa kwa sababu ya taifa lisilowafaa kitu, ambalo haliwaletei msaada wala faida, bali aibu tu na fedheha.”