Ephrathah
Anajulikana pia kama: Ephratah
31.7000, 35.2100 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Ephrathah
Kisha wazee pamoja na watu wote waliokuwa langoni wakasema, “Sisi ni mashahidi. Bwana na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wanawake wawili ambao pamoja waliijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrathi na uwe mashuhuri katika Bethlehemu.
Tulisikia habari hii huko Efrathi, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara: