Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Animals: Sent in judgment

2 mistari · 25 vipengele

Tafuta "Animals"

Mistari kuhusu Sent in judgment

  1. Ndipo Bwana akapeleka nyoka wenye sumu katikati yao; wakawauma watu, nao Waisraeli wengi wakafa.

  2. Watu wakamjia Mose na kusema, “Tumetenda dhambi wakati tuliponena dhidi ya Bwana na dhidi yako. Mwombe Bwana ili atuondolee hawa nyoka.” Hivyo Mose akawaombea hao watu.