Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Afflictions: God dispenses, as He will

3 mistari · 21 vipengele

Mistari kuhusu God dispenses, as He will

  1. “Kama akija na kukufunga gerezani, na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga?

  2. Je, shoka laweza kujigamba kuwa na nguvu zaidi kuliko yule anayelitumia, au msumeno kujisifu dhidi ya yule anayeutumia? Ni kana kwamba fimbo ingeweza kumwinua yeye aichukuaye, au mkongojo ungemwinua mwenye kuutumia!

  3. Mimi ninaumba nuru na kuhuluku giza, ninaleta mafanikio na kusababisha maafa. Mimi, Bwana, huyatenda haya yote.