Mistari ya Biblia kuhusu Afflictions Made Beneficial: Joseph's brethren
Mistari kuhusu Joseph's brethren
Wakaambiana wao kwa wao, “Hakika tunaadhibiwa kwa sababu ya ndugu yetu. Tuliona jinsi alivyohuzunika alipokuwa anatusihi kuponya maisha yake, lakini hatukumsikiliza, hiyo ndiyo sababu dhiki hii imetupata.”