Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Afflictions Made Beneficial: In convincing us of sin

6 mistari · 23 vipengele

Mistari kuhusu In convincing us of sin

  1. Lakini ikiwa watu wamefungwa kwenye minyororo, wakiwa wameshikiliwa na kamba za mateso,

  2. huwaonyesha yale waliyoyatenda, kwamba wametenda dhambi kwa majivuno.

  3. Kabla sijapata shida nilipotea njia, lakini sasa ninalitii neno lako.

  4. Akatamani kujishibisha kwa maganda waliyokula wale nguruwe, wala hakuna mtu aliyempa chochote.

  5. “Lakini alipozingatia moyoni mwake, akasema, ‘Ni watumishi wangapi walioajiriwa na baba yangu ambao wana chakula cha kuwatosha na kusaza, bali mimi hapa nakufa kwa njaa!

  6. Nitaondoka na kurudi kwa baba yangu na kumwambia: Baba, nimetenda dhambi mbele za Mungu na mbele yako.