Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Afflictions Made Beneficial: In keeping us from again departing from God

5 mistari · 23 vipengele

Mistari kuhusu In keeping us from again departing from God

  1. “Kama mwanadamu akimwambia Mungu, ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena.

  2. Nifundishe nisichoweza kuona; kama nimekukosea, sitafanya hivyo tena.’

  3. Katika siku ile, mabaki ya Israeli, walionusurika wa nyumba ya Yakobo, hawatamtegemea tena yeye aliyewapiga, lakini watamtegemea kwa kweli Bwana Aliye Mtakatifu wa Israeli.

  4. Watachukua hatia yao, nabii atakuwa na hatia sawa na yule mtu aliyekuja kuuliza neno kwake.

  5. “ ‘Ndipo watu wa Israeli hawataniacha tena, wala kujitia unajisi tena kwa dhambi zao zote. Ndipo watakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wao, asema Bwana Mwenyezi.’ ”