Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Afflictions Made Beneficial: In teaching us the will of God

3 mistari · 23 vipengele

Mistari kuhusu In teaching us the will of God

  1. Ilikuwa vyema mimi kupata shida ili nipate kujifunza maagizo yako.

  2. Nafsi yangu yakutamani wakati wa usiku, wakati wa asubuhi roho yangu yakuonea shauku. Wakati hukumu zako zinapokuja juu ya dunia, watu wa ulimwengu hujifunza haki.

  3. Sikiliza! Bwana anauita mji: kulicha jina lako ni hekima: “Tii hiyo fimbo na yeye aliyeiamuru.