Skip to content

Phoenicia

3 verses · 3 known names

Anajulikana pia kama: Phenice, Phenicia

33.5600, 35.3600 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Phoenicia

  1. Basi wale waliotawanyika kwa ajili ya mateso yaliyotokana na kifo cha Stefano, wakasafiri hadi Foinike na Kipro na Antiokia. Nao hawakuhubiri lile Neno kwa mtu yeyote isipokuwa Wayahudi.

  2. Hivyo wakasafirishwa na kanisa, wakiwa njiani wakapitia nchi ya Foinike na Samaria, wakawaeleza jinsi watu wa Mataifa walivyookoka. Habari hizi zikaleta furaha kubwa kwa ndugu wote.

  3. Hapo tukapata meli iliyokuwa inavuka kwenda Foinike tukapanda tukasafiri nayo.