Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Adoption: A spirit of prayer

5 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu A spirit of prayer

  1. “Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.

  2. Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.

  3. “Au ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate atampa jiwe?

  4. Au mwanawe akimwomba samaki atampa nyoka?

  5. Ikiwa ninyi basi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa vitu vizuri wale wamwombao?