Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Adoption: A merciful spirit

2 mistari · 38 vipengele

Mistari kuhusu A merciful spirit

  1. Lakini wapendeni adui zenu, watendeeni mema, wakopesheni bila kutegemea kurudishiwa mlichokopesha. Ndipo thawabu yenu itakapokuwa kubwa, nanyi mtakuwa wana wa Aliye Juu Sana, kwa sababu yeye ni mwema kwa watu wasio na shukrani na kwa wale waovu.

  2. Kuweni na huruma, kama Baba yenu alivyo na huruma.