Mistari ya Biblia kuhusu Women: Treated with cruelty in war
Mistari kuhusu Treated with cruelty in war
Barabarani upanga utawakosesha watoto; nyumbani mwao hofu itatawala. Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, pia watoto wachanga na wazee wenye mvi.
“Vijana na wazee hujilaza pamoja katika mavumbi ya barabarani, wavulana wangu na wasichana wameanguka kwa upanga. Umewaua katika siku ya hasira yako, umewachinja bila huruma.
Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni, na mabikira katika miji ya Yuda.