Mistari ya Biblia kuhusu Women: Consecrated jewels to tabernacle
Mistari kuhusu Consecrated jewels to tabernacle
Wote waliokuwa na utayari, wanaume kwa wanawake, wakaja wakaleta vito vya dhahabu vya kila aina: vipini, vipuli, pete na mapambo. Wote wakatoa dhahabu zao kama sadaka ya kuinuliwa kwa Bwana.