Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Women: Could not marry without consent of parents

4 mistari · 47 vipengele

Mistari kuhusu Could not marry without consent of parents

  1. Ninataka uape kwa Bwana, Mungu wa mbingu na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke kutoka binti za Wakanaani, ambao ninaishi miongoni mwao,

  2. bali utakwenda katika nchi yangu na jamaa zangu umpatie Isaki mwanangu mke.”

  3. Kisha Hamori baba yake Shekemu akaenda kuzungumza na Yakobo.

  4. Baba wa msichana akikataa katakata kumpa huyo mtu huyo msichana wake, bado ni lazima huyo mtu atalipa mahari kama inavyostahili malipo ya ubikira.