Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Trumpet: Regulating the journeys of the children of Israel

3 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Regulating the journeys of the children of Israel

  1. “Tengeneza tarumbeta mbili za fedha ya kufua, uzitumie kwa kuita jumuiya pamoja na wakati wa kuvunja makambi ili kuondoka.

  2. Wakati mlio wa kujulisha hatari ukipigwa, makabila yaliyo na makambi upande wa mashariki yataondoka.

  3. Ukisikika mlio wa pili wa jinsi hiyo, walioko kwenye makambi ya kusini wataondoka. Mlio huo wa kujulisha hatari utakuwa ishara ya kuondoka.