Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Trumpet: Confusion produced in the camp of the Midianites by sound of

2 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Confusion produced in the camp of the Midianites by sound of

  1. Akawagawa wale watu 300 katika makundi matatu, akawakabidhi tarumbeta mikononi mwao wote na mitungi isiyokuwa na maji yenye mienge ndani yake.

  2. Walipozipiga zile tarumbeta 300, Bwana akafanya watu katika kambi yote kugeuziana upanga kila mmoja na mwenziwe. Jeshi likakimbia mpaka Beth-Shita kuelekea Serera hadi mpakani mwa Abel-Mehola karibu na Tabathi.