Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Trumpet: Heard at Mount Sinai at giving of the law

2 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Heard at Mount Sinai at giving of the law

  1. Asubuhi ya siku ya tatu kulikuwa na ngurumo na radi pamoja na wingu nene juu ya mlima na mlio mkubwa sana wa tarumbeta. Kila mmoja aliyekuwa kambini akatetemeka.

  2. Watu walipoona ngurumo na radi, na kusikia mlio wa tarumbeta, na kuuona mlima katika moshi, walitetemeka kwa woga. Wakasimama mbali