Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Trumpet: Calling assemblies

3 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Calling assemblies

  1. “Tengeneza tarumbeta mbili za fedha ya kufua, uzitumie kwa kuita jumuiya pamoja na wakati wa kuvunja makambi ili kuondoka.

  2. Tarumbeta zote mbili zikipigwa, jumuiya yote itakusanyika mbele yako katika ingilio la Hema la Kukutania.

  3. Ili kukusanya kusanyiko, piga tarumbeta zote, lakini siyo kwa mlio wa kujulisha hatari.