Ararat
39.7000, 44.2900 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Ararat
katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati.
“Twekeni bendera katika nchi! Pigeni tarumbeta katikati ya mataifa! Andaeni mataifa kwa ajili ya vita dhidi yake, iteni falme hizi dhidi yake: Ararati, Mini na Ashkenazi. Wekeni jemadari dhidi yake, pelekeni farasi wengi kama kundi la nzige.