Ashkenaz
Anajulikana pia kama: Ashchenaz
Mistari inayomtaja Ashkenaz
Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma.
Wana wa Gomeri walikuwa: Ashkenazi, Rifathi na Togarma.
“Twekeni bendera katika nchi! Pigeni tarumbeta katikati ya mataifa! Andaeni mataifa kwa ajili ya vita dhidi yake, iteni falme hizi dhidi yake: Ararati, Mini na Ashkenazi. Wekeni jemadari dhidi yake, pelekeni farasi wengi kama kundi la nzige.