Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Travellers: Often engaged persons acquainted with the country as guides

3 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Often engaged persons acquainted with the country as guides

  1. Lakini Mose akasema, “Tafadhali usituache. Wewe unajua mahali ambapo yatupasa kupiga kambi jangwani, nawe unaweza kuwa macho yetu.

  2. Ikiwa utafuatana nasi, tutashirikiana nawe mema yoyote tutakayopewa na Bwana.”

  3. Nilikuwa macho ya kipofu na miguu kwa kiwete.