Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Travellers: Frequently commended them to protection of God

3 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Frequently commended them to protection of God

  1. Mchukueni ndugu yenu pia mrudi kwa huyo mtu mara moja.

  2. Naye Mungu Mwenyezi awajalieni rehema mbele ya huyo mtu ili apate kumwachia yule ndugu yenu na Benyamini mweze kurudi pamoja. Kwangu mimi kama nikufiwa nimefiwa.”

  3. Lakini muda wetu ulipokwisha, tukaondoka tukaendelea na safari yetu. Wale wanafunzi pamoja na wake zao na watoto wakatusindikiza hadi nje ya mji. Wote tukapiga magoti pale pwani tukaomba.