Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Travellers: The Jews prohibited from taking long journeys on the Sabbath

2 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu The Jews prohibited from taking long journeys on the Sabbath

  1. lakini siku ya saba ni Sabato kwa Bwana Mungu wako. Siku hiyo hutafanya kazi yoyote, wewe, wala mwanao au binti yako, wala mtumishi wako wa kiume au wa kike, wala wanyama wako, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.

  2. Ndipo waliporudi Yerusalemu kutoka Mlima wa Mizeituni, uliokuwa karibu na Yerusalemu, umbali wa mwendo wa Sabato kutoka mjini.