Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Travellers: Provender for their beasts of burden

2 mistari · 39 vipengele

Mistari kuhusu Provender for their beasts of burden

  1. Walipofika mahali pa kulala huko njiani mmoja wao akafungua gunia lake ili amlishe punda wake, akakuta fedha yake kwenye mdomo wa gunia lake.

  2. Tunazo nyasi na chakula cha punda wetu na mkate na divai kwa ajili yetu sisi watumishi wako, yaani mimi, mtumishi wako mwanamke, pamoja na huyu kijana tuliyefuatana naye. Hatuhitaji kitu chochote.”