Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Towers: Frequently strong and well fortified

2 mistari · 33 vipengele

Mistari kuhusu Frequently strong and well fortified

  1. Hata hivyo, ndani ya huo mji kulikuwa na mnara imara, ambako watu wote wa mji wanaume na wanawake, watu wote wa mji, walikimbilia ndani yake. Wakajifungia ndani yake na kupanda juu ya paa la mnara.

  2. Uzia akajenga minara huko Yerusalemu katika Lango la Pembeni, katika Lango la Bondeni na katika pembe, mahali kuta zikutanapo, kisha akaijengea ngome.