Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Towers: God as the protector of his people

4 mistari · 33 vipengele

Mistari kuhusu God as the protector of his people

  1. Mungu wangu ni mwamba wangu, ambaye kwake ninakimbilia, ngao yangu na pembe ya wokovu wangu. Yeye ni ngome yangu, kimbilio langu na mwokozi wangu, huniokoa kutoka kwa watu wenye jeuri.

  2. Humpa mfalme wake ushindi mkuu; huonyesha fadhili zake kwa mpakwa mafuta wake, kwa Daudi na wazao wake milele.”

  3. Bwana ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu.

  4. Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu, ngome imara dhidi ya adui.