Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Towers: Frequently thrown down in war

3 mistari · 33 vipengele

Mistari kuhusu Frequently thrown down in war

  1. Pia akaubomoa mnara wa Penieli na kuwaua watu wa mji.

  2. Basi watu wote wakakata matawi na kumfuata Abimeleki. Wakayakusanya hayo matawi juu ya ngome na kuitia moto ili kuwachoma wale watu wote waliokuwa ndani yake. Hivyo watu wote katika mnara wa Shekemu, karibia watu 1,000 waume kwa wake, pia wakafa.

  3. Watavunja kuta za Tiro na kuibomoa minara yake, nitakwangua udongo wake na kuufanya mwamba mtupu.