Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Vine: Sometimes cast its fruit before it came to perfection

2 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Sometimes cast its fruit before it came to perfection

  1. Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, kama mzeituni unaodondosha maua yake.

  2. Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu, wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.