Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Vine: Perfumed the air with the fragrance of its flowers

2 mistari · 42 vipengele

Mistari kuhusu Perfumed the air with the fragrance of its flowers

  1. Mtini unatunga matunda yake ya mwanzoni, zabibu zinazochanua zaeneza harufu nzuri. Inuka, njoo mpenzi wangu. Mrembo wangu, tufuatane.”

  2. Watu wataishi tena kwenye kivuli chake. Atastawi kama nafaka. Atachanua kama mzabibu, nao umaarufu wake utakuwa kama divai itokayo Lebanoni.