Mistari ya Biblia kuhusu The Vine: (Unfruitful,) of the wicked
Mistari kuhusu (Unfruitful,) of the wicked
Israeli alikuwa mzabibu uliostawi sana, alijizalia matunda mwenyewe. Kadiri matunda yake yalivyoongezeka, alijenga madhabahu zaidi; kadiri nchi yake ilivyostawi, alipamba mawe yake ya ibada.