Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Tribe Of Zebulun: Country of, blessed with the presence and instruction of Christ

4 mistari · 23 vipengele

Mistari kuhusu Country of, blessed with the presence and instruction of Christ

  1. Hata hivyo, hapatakuwepo huzuni tena kwa wale waliokuwa katika dhiki. Wakati uliopita aliidhili nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, lakini katika siku zijazo ataiheshimu Galilaya ya Mataifa, karibu na njia ya bahari, kando ya Yordani:

  2. Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali,

  3. ili kutimiza unabii wa nabii Isaya, kama alivyosema:

  4. “Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kwenye njia ya kuelekea baharini, ngʼambo ya Yordani, Galilaya ya watu wa Mataifa: