Rukia maudhui

Helon

5 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Helon

  1. kutoka Zabuloni, ni Eliabu mwana wa Heloni;

  2. Kabila la Zabuloni litafuata. Kiongozi wa watu wa Zabuloni ni Eliabu mwana wa Heloni.

  3. Siku ya tatu Eliabu mwana wa Heloni, kiongozi wa kabila la Zabuloni, alileta sadaka yake.

  4. maksai wawili, kondoo dume watano, mbuzi dume watano na wana-kondoo dume watano wa mwaka mmoja, ili vitolewe dhabihu kama sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sadaka ya Eliabu mwana wa Heloni.

  5. naye Eliabu mwana wa Heloni alikuwa kiongozi wa kabila la Zabuloni.