Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Sidonians: Their spoiling and oppression of the Jews to be fully recompensed

2 mistari · 30 vipengele

Mistari kuhusu Their spoiling and oppression of the Jews to be fully recompensed

  1. “Sasa una nini dhidi yangu, ee Tiro na Sidoni, nanyi nchi zote za Ufilisti? Je, mnanilipiza kwa yale niliyoyafanya? Kama mnalipa, mimi nitalipiza juu ya vichwa vyenu kwa kasi na kwa haraka yale mliyoyatenda.

  2. Nitawauza wana wenu na binti zenu kwa watu wa Yuda, nao watawauza kwa Waseba, taifa lililo mbali.” Bwana amesema.